Anaye hitaji viwanja chamanzi au mbande dar es salaam

Anaye hitaji viwanja chamanzi au mbande dar es salaam

Samahani kwa usumbufu mkubwa ila raha ya jamii forum ni kua kuna watu wa daraja la chini na la juu na wote tunapenda kujua thamani ya hivo viwanja na sio lazima kukupigia simu na ndo mana naomba ututajie bei ili tujue thaman yake na tujue kama tunaweza kuafford hiyo gharama aua hatuwez.

Ntashukuru sana kama utatoa ushirikiano.
 
kwa anayehitaji kiwanja chamanzi au mbande dar es salaam check me 0656 25 18 74

Ndugu Sultan,itakuwa si vibaya kuweka bei ya eneo kama ni kwa mita,au kwa hatua za mtu mzima na si mtoto,pia upatikanaji wa huduma muhimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom