Anauza Nyumba

Nyumba iyo kuna mzee anaiuza ipo Mapinga shule bagamoyo, ina umeme, Maji, gypsum board, floor rough, ina room tatu kimoja master, choo Cha ndani cha public, ina sebule jiko,
Ongezea picha zaidi, Eneo limepimwa? Bei na mawasiliano je?
 
Mkuu ungeongeza picha kidogo maana hizi ulizoweka zinaionyesha kama ni ndogo sana i mean inaonekana ilijengwa kwa kubana sana size ya vyumba.

Pia ongeza # za simu biashara kama hii siyo ya kupatana PM.
 
Ngojea nimwambie apige picha zingine anitumie, ila ni Kubwa nyuma ina kibaraza pia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…