Pole sana Baby, ila bila yeye usingelimpata huyo mtoto unaye mwita "mwanangu" hawezi kuwa mwanao bali mwanenu daima daawamu. Soma vizuri uzi wangu. Nimekwambia mtoto akija kuwa mtu mzima, atataka kumjua babake, utamnyima?
Sihitaji kulipwa kwani hakuna awezaye lipa malezi na upendo wangu kwa mwanangu.ajaribu kuninyanganya huyu mwanangu aone,niko radhi kwa lolote kwa ajili ya mwanangu.
Haya mambo magumu sana na hayana jibu moja. Kila jibu linategemea muda, mazingira na jamii husika.
Pajue kwao halafu utapata jibu mujarabu.
Pole!
Hebu soma vizuri ulichoandika, na ulivyohitimisha.
Kupajua si lazima ushirikiano upatikane. Mfanyie ujasusi tu na itafanikiwaNitapajuaje kwao ikiwa hataki kutoa ushirikiano?
Sijamnyima kumwona mwanaye,tatizo anataka kumchukua mazima wakati alimsusa toka mimba.ningeitoa mimba je?angeitwa baba leo?
Mimi niliweza mbonaHata mimi nina ajira yangu,so naweza mlea vizuri tu.nimemnyonyesha bila choxhote kwa miezi 6 ,wadhani bila lishe ya uhakika ni mwanamke gani anaweza nyonyesha mtoto exclusive kwa miezi sita hapa mjini?
na wataongeza na mwingine na mwingine tena.Mlee mtoto wako kwa upendo na usimjengee mazingira ya kumchukia baba yake.Naamini huyo jamaa anahisi aibu kukuomba msamaha kwa wakati huu ndo akajifanya anamtaka mtoto kwa nguvu ila kadri siku zinavyoenda atakuja kukuomba msamaha na mtashirikiana vizuri kulea mtoto wenu.
maneno tu hayo anabwabwaja. Kama angemtaka kweli kwanini asubiri mpaka akue? na kama ana hela za kulipa gharama kwanini asingeanza sasa basi kutoa gharama za matunzo ya kila siku. Mjinga tu huyo kaa nae mbali.Habari za mchana,
Nimezaa na kijana mmoja ambaye alinitelekeza toka niko mjamzito.Nilimove on na maisha yangu nikalea mimba haadi mtoto akazaliwa,hajawahi hudumia huyu mtoto tangu mimba hadi leo ana mwaka sasa.
Siwajui ndugu zake na wala kwao haijulikani kama hata ana mtoto kwani hajawahi hata mpeleka mtoto kwao,mtoto alipozaliwa nilimsihi amtaarifu japo mama yake aje kumwona mjukuu wake akakataa.
Leo nikiwa katika pilika za maisha nimekutana naye,baada ya salamu,akanambia nipe mtoto wangu au kama hutaki endelea kunilelea akikua nitakuja nikulipe gharama zako nimchukue,siko tayari kumpatia mwanangu kwani hakuna gaharama ya kufidia uzazi na malezi ya mwanangu.
Je inawezekana mtu kumnyanganya mtoto ambaye ulimtelekeza toka mimba? Nifanyeje?Nimetumia muda na rasilimali zangu kumlea mwanangu halafu leo mwanaume anakuja na kauli ya vitisho kutaka kuchukua mwanangu.
Wote hamna kitu. Wakati mnadinyana mlikuja kuomba ushauri huku.
Kama vipi mgawane majukumu wiki hii mtoto kwako wiki ijayo mtoto kwa babake.
Nenda ofisi za ustawai wa jamii zilizo karibu yako!Habari za mchana,
Nimezaa na kijana mmoja ambaye alinitelekeza toka niko mjamzito.Nilimove on na maisha yangu nikalea mimba haadi mtoto akazaliwa,hajawahi hudumia huyu mtoto tangu mimba hadi leo ana mwaka sasa.
Siwajui ndugu zake na wala kwao haijulikani kama hata ana mtoto kwani hajawahi hata mpeleka mtoto kwao,mtoto alipozaliwa nilimsihi amtaarifu japo mama yake aje kumwona mjukuu wake akakataa.
Leo nikiwa katika pilika za maisha nimekutana naye,baada ya salamu,akanambia nipe mtoto wangu au kama hutaki endelea kunilelea akikua nitakuja nikulipe gharama zako nimchukue,siko tayari kumpatia mwanangu kwani hakuna gaharama ya kufidia uzazi na malezi ya mwanangu.
Je inawezekana mtu kumnyanganya mtoto ambaye ulimtelekeza toka mimba? Nifanyeje?Nimetumia muda na rasilimali zangu kumlea mwanangu halafu leo mwanaume anakuja na kauli ya vitisho kutaka kuchukua mwanangu.
MfyuuuuuuuuuuùuUmepewa options mbili; mpe mwanae, au endelea kumlea akikua utalipwa fidia. Kama issue ni muda na rasilimali ulizotumia, then kaeni chini mfanye mchanganuo.
Mfyuuuuuuuuuuùu
Anadhani kuna fidia anayoweza toa?
Mfyuuuuuuu zake huyo.mwanaume trna mfyuuu kaniudhi[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Upo mpendwa? Uwe na wiki njema
Na wewe kwanini umemwambia mtoto ni wake? Mwambie ulikuwa na mpango wa kando na ndo uliokumimbishaSijakataa,wala sijawahi mnyima kumwona mwanae ingawa yeye mwenyewe ndio huwa hajishughulishi kumwona mwanaye.Na sina mpango wa mtoto kutomjua baba yake,tatizo ananitishia kumchukua mwanangu niliyembeba kwa uchungu miezi 9.