Mkuu, nenda ukamwandikishe mwanao sehemu stahiki (Ustawi wajamii/serikali za mitaa/mwenyekit/hata polisi) kwa ushuhuda wao na ujiwekee na mwanao ulinzi tosha...Habari za mchana.
Nimezaa na kijana mmoja ambaye alinitelekeza toka niko mjamzito.
Nilimove on na maisha yangu nikalea mimba haadi mtoto akazaliwa,hajawahi hudumia huyu mtoto tangu mimba hadi leo ana mwaka sasa.
Siwajui ndugu zake na wala kwao haijulikani kama hata ana mtoto kwani hajawahi hata mpeleka mtoto kwao.mtoto alipozaliwa nilimsihi amtaarifu japo mama yake aje kumwona mjukuu wake akakataa.
Leo nikiwa katika pilika za maisha nimekutana naye,baada ya salamu,Akanambia nipe mtoto wangu au kama hutaki endelea kunilelea akikua nitakuja nikulipe gharama zako nimchukue.siko tayari kumpatia mwanangu kwani hakuna gaharama ya kufidia uzazi na malezi ya mwanangu.
Je inawezekana mtu kumnyanganya mtoto ambaye ulimtelekeza toka mimba?nifanyeje?nimetumia muda na rasilimali zangu kumlea mwanangu halafu leo mwanaume anakuja na kauli ya vitisho kutaka kuchukua mwanangu.
Mambo haya ni magumu sana , usimpe mtoto na hana mamlaka ya kumchukua ila kaa ukijua mtoto akikua yeye mwenyewe atamfuata baba yake.
Duc In Altum.
Mkuu, nenda ukamwandikishe mwanao sehemu stahiki (Ustawi wajamii/serikali za mitaa/mwenyekit/hata polisi) kwa ushuhuda wao na ujiwekee na mwanao ulinzi tosha...
maana asije mwiba nawe ukiwashughulini..
Piga mahesabu, ukiona kuwa anaweza kumlea mwanaye vizuri mpe. Kitu cha uhakika ni kuwa, hakuna mtoto atakaye sikia kuwa babako ni yule aache kumwendea. Sasa, utamfanyaje mwanao akija amua kumwendea babake? Tena yaonesha hata wewe kimoyomoyo unamtamani kweli jamaa, mpe mtoto awe kiungo cha kumfanya akukumbuke
Kila maeneo kuna branch/ofisi ndogo ya wakilishi wao... Samahani mie siishi Dar !!Asante,ofisi za ustawi wa jamii kwa dar ziko wapi kama unajua nifahamishe,nikaripot kesho
Kwanini mkuu?hapa ngoja nipite tu
nemda bamaga pale chuo cha ustawi wa jamiiAsante,ofisi za ustawi wa jamii kwa dar ziko wapi kama unajua nifahamishe,nikaripot kesho
Umepewa options mbili; mpe mwanae, au endelea kumlea akikua utalipwa fidia. Kama issue ni muda na rasilimali ulizotumia, then kaeni chini mfanye mchanganuo.
Piga mahesabu, ukiona kuwa anaweza kumlea mwanaye vizuri mpe. Kitu cha uhakika ni kuwa, hakuna mtoto atakaye sikia kuwa babako ni yule aache kumwendea. Sasa, utamfanyaje mwanao akija amua kumwendea babake? Tena yaonesha hata wewe kimoyomoyo unamtamani kweli jamaa, mpe mtoto awe kiungo cha kumfanya akukumbuke
Simhitaji yeye nachotaka ni mwanangu