Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,793
wewe huniogopi miss chagga ana miaka 18 bado kabisa
miss chagga unatafutwa
Ahhhahhha unasema kama.nani baba ake mzazi au kadi la kliniki
wewe huniogopi miss chagga ana miaka 18 bado kabisa
ajaongelea swala ankara miaka umri just number hata RITA wanatoa cha mwaka unaotaka
ahahahhahahah mwambiee huyowewe nina vyetu vya kuzaliwa kumi kila kimoja na mwaka wake
halafu bado kidogo nimuulize wallet inatema???
ahahahhahahah mwambiee huyo
hawajui miaka tunapanga wenyewe tu...anaonekana kidogo mfuko siyo mzuri na kama ni mzuri kuzitoa mpaka unyenyekee umfanye kimungu mtuMO11 pita hapa umejibiwa
Anatafutwa 33-35 na kwa bahati mbaya yeye ni 16 na bado saa 6miss chagga unatafutwa
wewe uliejibu miaa yake unajibu kama nani mama yake au unamiliki kadi lake la clinicAnatafutwa 33-35 na kwa bahati mbaya yeye ni 16 na bado saa 6
hawajui miaka tunapanga wenyewe tu...anaonekana kidogo mfuko siyo mzuri na kama ni mzuri kuzitoa mpaka unyenyekee umfanye kimungu mtu
Anatafutwa 33-35 na kwa bahati mbaya yeye ni 16 na bado saa 6
mwenzangu weh tuwe kama wema na lulu wema hadi leo ana 26 yrs old
asogei vinatengenezwa mpaka nyama zianze kushuka ndiyo tutasema miaka yetu
1. Age 33-35
2. Awe mchagga
3. Awe anapenda kufanya mila
4. Awe tayari kufunga ndoa ya kimila.
Serieous. Kama vp ni PM