Mkuu huyu dog ni askari tena siyo wa njaa huyu maisha yake yako juu tena safi na kazi yake ni kunusa nusa tuu na kuwatambua wale watu ambao hujishindilia mabomu na kujiripua kwenye makundi ya wananchi na hao ni wale akina taliban na al qaeeda na al shabab maana hawa ni tishiyo kwa baadhi ya inchi