asalaamu!naandika sredi hii nikiwa na mtetemo wa mkono!naomba tumsaidie tafadhali!ni rafiki yangu sana kitambo sasa,tulisoma wote olevel na baadaye chuoni miaka adhaa iliyopita,huwa tunawasiliana na kutembeleana kwani tunakaa mikoa tofauti!ni kijana wa miaka 29,ameoa na baba wa mtoto mmoja!amenieleza kuwa hafurahii kabisa tendo la ndoa na mkewe na sasa anataka afanyiwe yeye,ameniteua mimi kuwa wake wa kwanza katika dhamira yake hiyo na hisia za ushoga zimemshinda kwani amejizuia mwaka wa 2 sasa nahatorudi nyuma hata kama nikikataa!!
Wadau,mimi siwezi asilani na sitaki aende huko,roho yaniuma kupita maelezo,naombeni mawazo nimsaidiaje?

He? Makubwa,.
Mwambia aende kwa pyschologist, i thnk ana matatizo kwenye mind,
ni kitu alichokuwa anawaza siku nying, so kimemtokea..
Nadhan ajaribu ku balance brain yake...
asalaamu!naandika sredi hii nikiwa na mtetemo wa mkono!naomba tumsaidie tafadhali!ni rafiki yangu sana kitambo sasa,tulisoma wote olevel na baadaye chuoni miaka adhaa iliyopita,huwa tunawasiliana na kutembeleana kwani tunakaa mikoa tofauti!ni kijana wa miaka 29,ameoa na baba wa mtoto mmoja!amenieleza kuwa hafurahii kabisa tendo la ndoa na mkewe na sasa anataka afanyiwe yeye,ameniteua mimi kuwa wake wa kwanza katika dhamira yake hiyo na hisia za ushoga zimemshinda kwani amejizuia mwaka wa 2 sasa nahatorudi nyuma hata kama nikikataa!!
Wadau,mimi siwezi asilani na sitaki aende huko,roho yaniuma kupita maelezo,naombeni mawazo nimsaidiaje?
huyo type za kina camerun na alaaniweasalaamu!naandika sredi hii nikiwa na mtetemo wa mkono!naomba tumsaidie tafadhali!ni rafiki yangu sana kitambo sasa,tulisoma wote olevel na baadaye chuoni miaka adhaa iliyopita,huwa tunawasiliana na kutembeleana kwani tunakaa mikoa tofauti!ni kijana wa miaka 29,ameoa na baba wa mtoto mmoja!amenieleza kuwa hafurahii kabisa tendo la ndoa na mkewe na sasa anataka afanyiwe yeye,ameniteua mimi kuwa wake wa kwanza katika dhamira yake hiyo na hisia za ushoga zimemshinda kwani amejizuia mwaka wa 2 sasa nahatorudi nyuma hata kama nikikataa!! Wadau,mimi siwezi asilani na sitaki aende huko,roho yaniuma kupita maelezo,naombeni mawazo nimsaidiaje?