Kuna mwl.wa bachelor degree anatafuta kazi ya kufundisha kwa shule za sekondari.
Anahitaji msaada wako, ikiwa unahitaji au unafahamu shule yenye uhitaji wa mwalimu.Masomo anayofundisha ni HISTORY na ENGLISH.
Simkatishi tamaa ila atakesha. Kwann asijiajili? Hakuna nacho chukia kama kazi ya kuajiliwa. Ondoa fikra mgando maisha lazima uajiliwe tu. Knowledge uliyo pata ikusaidie kutengeneza njia towards success and wealth. Ondoa hiyo dogmatism.