chagga land
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 394
- 95
Mbona huwa hamuweki na picha ili kusapoti maelezo
imagine hata matangazo let's ya magari ama kitu chochote
siku hizi ili kuvuta usikivu wa wasomaji kuna umuhimu wa kuambatanisha na picha
Hivyo tupia tu na picha bora hata isiwe na kichwa but the rest paonekane!
Ni ushauri tu!
Napita!
man kitu kipo fresh sana
Mwambie awe mpole mana jua bado la utosi au ni single mother?? Kama sio single mothers basi mabwana awaachie ambao jua linazama 30 yrs old mana wapo wengi umu
mkuu kama ningekuwa namtaka mimi siningesha piga na kumchukua ila ametima kwa maamuzi yake kuwa anaomba nimuadvertise online ili aweze kumpata wa maisha yake