R RachelNgowi96 Member Joined Jul 16, 2019 Posts 7 Reaction score 3 Sep 15, 2019 #1 Habari Wana jf..kijana wa kiume miaka 23 anatafuta kazi...ana uzoefu wa kuuza duka pia kufanya miamala Kama tigo pesa, mpesa nk ...pia ana ujuzi wa umeme no fundi mzuri tu.. Ntashukuru Sana Kama kazi itapatikana.
Habari Wana jf..kijana wa kiume miaka 23 anatafuta kazi...ana uzoefu wa kuuza duka pia kufanya miamala Kama tigo pesa, mpesa nk ...pia ana ujuzi wa umeme no fundi mzuri tu.. Ntashukuru Sana Kama kazi itapatikana.