Dada angu ana umri w miak 20,Elim yake kidato cha nne, alisomea computer na alifanya kazi steshenal mwak 1 ,kwa sasa yupo dar tandika anaweza kufanya kazi yeyote ila isiwe y kumshushia heshima yake kwa yeyote atakae kua n ajila basi naomba aje inbox kwa mawasiliano zaidi asante.