Ndugu
Mimi pia nimesoma bachelor ya kozi hiyo hiyo, mpaka leo sijapata kazi.
Mshauri aanze na kazi yeyote kutafuta, hasa related kama marketing, ass acountant, sales, stores mgt, supplies, halafu hata ajitolee , mimi hapa najitolea mahala fulani japo mwanzo sikua napata kitu, lakini sasa napata uzoefu na petty ikija fungu kama kawa japo napata kila baada ya 2month lakini si haba maisha yanaenda, si sawa na kukaa tu, atajikuta anasahau hata siku akienda interview hana kitu kichwani.
Niko naye kutafuta kazi, but namshauri apande japo step niliyopo kwanza wakati anatafuta hiyo aitakayo.