mb orginal
New Member
- Jun 3, 2014
- 4
- 0
Biashara matangazo,kwani yeye hawaoni huko mtaani ama chuo?wadau kuna frd wangu anatafuta boyfrd yy anaumr wa miaka 21 co bonge mrefu wastan na pia ni rang maji ya kunde anae muhtaji awe ana umri kat ya 21 adi 23 acwe mfup xana wala mrefu xan . dini muislam, mapenz ya kwel muhimu pexa badaeeeeeeeeeeeee
Karibu jf wewe ni Ke?karibu sana sana mbona jana ulivyoanza kutumi jf hujani PM au nikupige ban sasa hivi
Ni pm haraka nikupe maelekezo ya hapa ndani kama ni Ke
Halafu ni marufuku kutumi x badala ya s ukiendelea ni ban tu
Biashara matangazo,kwani yeye hawaoni huko mtaani ama chuo?
Nipo mimi sex mashine
Power horse ngapi mkuu au watt ngapi vile
wapo fb na twitter huku ni teammichepuko,used na teamZoombies
Ayu changamkia hapo ndugu yanguHorse power (HP) au bingwa wa reverse??? bila shaka itakuwa 750Watts au 1HP..
we ni dalali wa mapenzi?
Rekebisha kauli yako kwanza ndipo tuendelee...