Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
Je anaomba hela kwa ajili ya matuimizi ya muhimu?Wadau,
Niko na mchumba wangu ambae anakatabia ka kuomba sana hela, je hii tabia ni kiashiria kibaya kiasi gani katika ndoa?
Anafaa kuoa?
Je Mwanamke kupenda kuomba hela wakati ana kazi ina athari kiasi gani kumfanya mwanamke wa kuoa au kutokuoa?
Una uhakika ni mchumba au demu?Wadau,