Anaolewa: All the best kipenz changu

Pole jamaa, haya mambo yapo wala usiyaweke moyoni maana yanaumiza. Kuitwa mwanaume sio kwasababu unavaa suruali bali ni jinsi unavyoweza kubeba mazito kama hayo ya kuachwa solemba. Ila potazea tu maana wapo wengi utajitwalia kadri utakavyo
 
Mkuu pole kwa yaliyokukuta, ila japo anaolewa ukitaka mzigo unakula bila shida ila heshimu ndoa yao tafuta mwingine huyo msahau kabisa mkuu.

Mwache aishi Maisha mapya epuka kumtumia sms za malove na kumpigia pigia simu Usije ukawa tatizo katika ndoa yao.
 
Aisee mwanamke huwa hana hakika na mwanaume gani atamuoa, ndo maana wakifikia umri wa kuolewa huwa na wachumba wawili ama watatu.atakayewahi kutangaza nia ndo huyo anakula bingo. Wewe ndo ulikuwa hueleweki brother
 
Pole, Huyo jamaa alikua anakula pia na pesa zako anazitumia
 
Kaka pathfinder_tz pole mkuu, kuna msemo mmoja wahenga wanasema "Ndoa hupangwa mbiguni" zamani sana nilijua ni ka msemo flani tu hivi mpaka na mimi yalipokuja kunikuta ndio nikaweka signature kwenye huo msemo. Songa mbele kaka na usijaribu hata siku moja kurejesha mahusiano na huyo dada hata iweje najua atakutafuta sana usikubali kaka ni laana kubwa sana kwenye maisha.
 
Yeah bro! We r all human.. unaeza kumuacha kwa mabaya af mwisho wa siku mnakutana sehem ... tunapita tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…