MAKRESH MMAKA
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 155
- 19
Hajakuumiza....akikuumiza wala hutaomba ushauri
A First step
^^
Kiukweli kuna msichana ananipa wakati mgumu kwasababu ananiumiza lakini nikisema nimuache moyo wangu unashindwa na huwa napata wakati mgumu pale nimuonapo ushauri wenu wadau naona nikiendelea nae atanitesa sana
Wewe mimi nakufaham vizur.... eti anakuumiza!!!!!?????? How???Kwa hyo huku jf ndo umeona mahal pa kuja kuleta pumba zko?? Utabadili wanawke km nguo km usipobadil tabia yko...ww c ulikua na mke wa ndoa mkashindwana????!!!!! Ptuuuuuuuuhhh.
Una moyo mlaini kama wakike,mwanaume hawi hvyo..na pia unasumbuliwa sana na haya maswali
>mimi ni mbaya labda nikimwacha sitampata mwingne
>huyu demu ni mzuri sana sitampata kama huyu
>nilipata shida kumpata labda nikimwacha itanichukua miaka kumpata mwingne
> n.k
Hayo maswali yote ni nonsense,wako wanawake wengi sana out there waiting mwanaume kama wewe,jifunze kuwa na confidence na outstanding,
Jiwekee utaratibu wa kutongoza msichana mpya wa aina yeyote kila wiki ili u-upgrade confidence yako