Ananitaka ila mi simtaki kabisa

wana JF, Habari.

Kuna dada mmoja ananitamani sana hapa mtaani kwetu yaani mpaka kero, mi sijaoa eti kila siku ananitania eti nimuoe na mimi sitaki maana nina mchumba wangu yupo chuo saivi. Nifanyeje ili nimkimbie? asinizoee kabisa?

Nawasilisha.

Sasa km anakutania wasi wasi wako nn? Acha story zako za Facebook hapa
 
Huyu jamaa ni mshamba na mademu wajanja hawadate na watu wa matangazo kama hama hawa.

Kuna mrembo mmoja nilidate naye miaka kadhaa iliyopita na hatukuwa kwenye serious relationship ikatokea siku tuko kwenye mtoko na mshikaji akaniambia kuna demu wake tumpitia kwao tumpick kufika pale she was the same girl niliyekuwa nammega kabla ya rafiki yangu.

Inshort ilichukuwa muda sana yule demu kuamini kwamba sikuwahi kumueleza lolote rafiki yangu kuhusu our past na hakuna kupasha kiporo na mahusiano yao yako very strong na mchizi anaoa kabisa.

Mfalme Suleimani alituhasa tuwe na akiba ya maneno, watu tunajuwa mengi lakini mengine tunamezea.
 
Hujamkazia wewe... Ungemkazia wala asingekuwa anakusumbua!
 
wana JF, Habari.

Kuna dada mmoja ananitamani sana hapa mtaani kwetu yaani mpaka kero, mi sijaoa eti kila siku ananitania eti nimuoe na mimi sitaki maana nina mchumba wangu yupo chuo saivi. Nifanyeje ili nimkimbie? asinizoee kabisa?

Nawasilisha.

Wewe Kuwa Wa Kiumeni. Mchape Nao Kwanza Kutimiza Wajibu wa Kianamume Kisha Sepa Na Mtose! Kweli Nimeamini Kwenye Miti Mingi Huwa Hakuna Wajenzi.
 
watoto hawaishi JF mwenywe ushasema unataniwa sasa pressue iko wap..!!??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…