Anameremetaaa

binti mzuri ila hiyo chakula ya mtoto!!!!!!!
 
Jamaniii kweli nguo ya kuazima haisitiri nyeti....
 
Imetulia, wala haina makuu.

Hongera zao
 
Muacheni jamani kama wanalia kwa furaha naona huyo kaonesha fua kwa furaha.
 
mavazi yaliyovaliwa na uhalisia ni vitu viwili tofauti
 
Hahahahaaa hivi hao warembaji wana akili nzuri kweli?
Halafu bibi harusi mzuri tu endapo wangempatia angetokelezea......
Bwana harusi anatabasaaamu mwenyewe!
 
Hao 'wanapasha kiporo'
Ndio mana hawajajali sana.
Bwana harusi ana furaha iliyopitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…