Moja kwa moja kwenye point
Kampeni zilipigwa kwa nguvu sana kwamba tuachane na ANALOGY TV tuingie kwenye DIGITAL TV sababu nyingi sana ,
Sasa baadhi yetu tunajuta BORA mara 10 analogy kuliko hii digital hasa musimu wa mvua, analogy utaona mchele mchele lakini sauti utaisikia vizuri na hata picha kwa mbali black n white lakini angalau information utaipata
Tatizo kwenye digital ni tatizo kubwa sana, mawingu tu yakitanda baaassssii
utapata mang'amu mang'amu tu sauti hakuna, ikianya nanyunyu basi tena
Hasa wakati wa masika unaweza kabisa mwezi mzima huna TV, HAINA KITU
Nimebadili vingamuzi wapi, tena mm niko Dar je wa kijijini ana hali gani ?
Mimi naona tulidanganywa ndio maana wenzetu kule kenya waligoma
Bora wangeziacha zote mbili ziendelee
AnatumiaMkuu kuna namna Tatu ya Kupata Digital TV.
1. Terrestrial
2. Sattelite Dish
3. Internet
Sasa ww unatumia njia gani kupata mawasiliano
Anatumia
2. Digital TV
How?Kuna namna kulkinga dishi ili kipindi cha mvua lisisumbue
How?
Mimi bado ninalo dish la zamani na linadunda bila chenga na silipi chochote.Ni kweli waliturubuni.Moja kwa moja kwenye point
Kampeni zilipigwa kwa nguvu sana kwamba tuachane na ANALOGY TV tuingie kwenye DIGITAL TV sababu nyingi sana ,
Sasa baadhi yetu tunajuta BORA mara 10 analogy kuliko hii digital hasa musimu wa mvua, analogy utaona mchele mchele lakini sauti utaisikia vizuri na hata picha kwa mbali black n white lakini angalau information utaipata
Tatizo kwenye digital ni tatizo kubwa sana, mawingu tu yakitanda baaassssii
utapata mang'amu mang'amu tu sauti hakuna, ikianya nanyunyu basi tena
Hasa wakati wa masika unaweza kabisa mwezi mzima huna TV, HAINA KITU
Nimebadili vingamuzi wapi, tena mm niko Dar je wa kijijini ana hali gani ?
Mimi naona tulidanganywa ndio maana wenzetu kule kenya waligoma
Bora wangeziacha zote mbili ziendelee
Home nimefunika hyo LNB na chupa iliyokatwa ya plastiki bt mvua ikija hakuna cha maaanaArafute kitu cga kufunikia LNB
Kwanza ni analog siyo "analogy".
Na uliyopata siyo digital tv bali mfumo wa kurushwa na kupokea matangazo hayo ya tv ndiyo umekuwa digital (digital tv transmission).
Kwenye digital transmission ni kweli kabisa hakuna chenga, aidha picha ipo au hakuna. Ukiona chenga chenga ujuwe hiyo picha yenyewe ndiyo yenye chenga si vinginevyo.
Mawingu yanaathiri kwetu kwa kuwa transmission zetu si za karibu bali za mbali na pindi tutakapopata service provider wa kuweza kuutumilia mkonga wa taifa wa mawasiliano na kutuunganishia "fiber optic" majumbani mwetu basi hapo tatizo kwisha na tutaweza kutumia vifaa vyote vya digital bila tatizo.
TAFUTA FUNDI MZURI AKUFUNGIE ILO DISHI LAKOMoja kwa moja kwenye point
Kampeni zilipigwa kwa nguvu sana kwamba tuachane na ANALOGY TV tuingie kwenye DIGITAL TV sababu nyingi sana ,
Sasa baadhi yetu tunajuta BORA mara 10 analogy kuliko hii digital hasa musimu wa mvua, analogy utaona mchele mchele lakini sauti utaisikia vizuri na hata picha kwa mbali black n white lakini angalau information utaipata
Tatizo kwenye digital ni tatizo kubwa sana, mawingu tu yakitanda baaassssii
utapata mang'amu mang'amu tu sauti hakuna, ikianya nanyunyu basi tena
Hasa wakati wa masika unaweza kabisa mwezi mzima huna TV, HAINA KITU
Nimebadili vingamuzi wapi, tena mm niko Dar je wa kijijini ana hali gani ?
Mimi naona tulidanganywa ndio maana wenzetu kule kenya waligoma
Bora wangeziacha zote mbili ziendelee
Cga ya nini kidoo cha cello tu cha litre 5 kinatosha, afunike LNB na switch zisipigwe na maji ya mvua tuArafute kitu cga kufunikia LNB
Nimetafsiri neno la Kiingereza "trunk" ambalo ni mkonga. Hilo "mkongo" nnamwachia Kabila.Sio mkonga, ni Mkongo