politicians Senior Member Joined Apr 8, 2018 Posts 154 Reaction score 126 May 15, 2021 #1 Habari wadau! Anahitajika mtaalamu wa video editing,awe anajua kuedit vizuri video na mzoefu, tuma sms kwenye namba hii 0687234549. Note:awe mkazi wa Daressalaam.
Habari wadau! Anahitajika mtaalamu wa video editing,awe anajua kuedit vizuri video na mzoefu, tuma sms kwenye namba hii 0687234549. Note:awe mkazi wa Daressalaam.
MzaramoTz JF-Expert Member Joined Dec 13, 2017 Posts 1,873 Reaction score 3,094 May 17, 2021 #2 politicians said: Habari wadau! Anahitajika mtaalamu wa video editing,awe anajua kuedit vizuri video na mzoefu, tuma sms kwenye namba hii 0687234549. Note:awe mkazi wa Daressalaam. Click to expand... Mnalipa kiasi gani na mazingira ya kazi yapoje, ni editor pekee au na ku-shoot...? Dar sehemu gani...?
politicians said: Habari wadau! Anahitajika mtaalamu wa video editing,awe anajua kuedit vizuri video na mzoefu, tuma sms kwenye namba hii 0687234549. Note:awe mkazi wa Daressalaam. Click to expand... Mnalipa kiasi gani na mazingira ya kazi yapoje, ni editor pekee au na ku-shoot...? Dar sehemu gani...?