Habari zenu wataalam!
Kuna nafasi moja ya kazi anahitajika trained Sonographer. Awe na good professional conduct.
Location: Dar es Salaam, waliopo maeneo ya karibu watapewa kipaumbele.
Kituo ni Polyclinic.
Kama una mtu unaemfaham anahitaji kazi please contact our MOI 0714588399