Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 6,435 Reaction score 15,295 May 15, 2022 #1 Habari wakuu anahitajika pharmacy technician. Location ni Mwanza. Atafanya kazi Jeet Pharmacy, vigezo awe ana uzoefu usiopungua miaka miwili na pia awe na leseni hai. Kwa walioko kanda ya ziwa haswa Mwanza watapewa kipaumbele zaidi. Kwa maelezo zaidi: musabuhare.tz@gmail.com
Habari wakuu anahitajika pharmacy technician. Location ni Mwanza. Atafanya kazi Jeet Pharmacy, vigezo awe ana uzoefu usiopungua miaka miwili na pia awe na leseni hai. Kwa walioko kanda ya ziwa haswa Mwanza watapewa kipaumbele zaidi. Kwa maelezo zaidi: musabuhare.tz@gmail.com