anahitajika mwalimu wa kike mwenye qualifications za kufundisha watoto wenye umri chini ya miaka 3. center ipo mbezi beach, atapewa chumba cha kulala na chakula bure, experience si muhimu sana mradi awe na vigezo na moyo wa kupenda watoto.
mkuu, je ni ajabu mwalimu kuishi eneo la shule? kuishi eneo la shule kunamrahisishia mwalimu kufanya kazi kwa urahisi zaidi. Lakini pia si kigezo, kama hatahitaji nyumba hatalazimishwa.
Una bidii ya kumtafutia kazi,ila kumbuka ametangaza kazi na waombaji ni wengi watakao/waliotuma cv so akipitia utajua,pia mwajili halazimishi. Samahani lakini