Sorry kuhusu title hapo juu,
Ni grocery na sio Pub
Anahitajika muhudumu wa
Grocery maeneo ya gongolamboto -ulongoni
Vigezo:
1.Awe na umri kati ya miaka 18 mpaka 25
2.Jinsia ya kike
3.Ni kazi ya kuja na kuondoka, kwahio ni vyema akiwa maeneo ya karibu
4.Grocery ni mpya,akiwa na uzoefu itakua vyema zaidi japo sio kigezo muhimu sana
5.Mshahara kwanzia 75,000 na kuendelea (unazungumzika)
Mawasiliano 0748333586