Una nuksi kali sana.Bro what went wrong... Naona una block namba kila inayochat na wewe kwa njia ya WhatsApp bila hata salamu. Tulipeana namba,ghafla nikaona nikucheki Whatsapp...kitendo cha salaamu tu,nikala block. Nikabadili namba,nikakutext tena,uliposoma tu nikala block. Nikajiuliza nini shida? Mbona una block tu!
Kabisa mkuu...sio kwa mikausho hii mikali sana[emoji23][emoji23]Una nuksi kali sana.
Njoo uoshwe mkuu[emoji28][emoji28][emoji1787]
Mimi nilienda nae vizuri sana sema niko usukumani huku. Simsemi vibaya nilishindwa kufika sababu ya umbali.Kabisa mkuu...sio kwa mikausho hii mikali sana[emoji23][emoji23]
Tangazo la muda hilo, pengine keshapata mtu tayari. Lakin pia kasema mwanamke ndo atapewa kipaumbele[emoji1787]Bro what went wrong... Naona una block namba kila inayochat na wewe kwa njia ya WhatsApp bila hata salamu. Tulipeana namba,ghafla nikaona nikucheki Whatsapp...kitendo cha salaamu tu,nikala block. Nikabadili namba,nikakutext tena,uliposoma tu nikala block. Nikajiuliza nini shida? Mbona una block tu!
Basi mimi huwa naona it's better mtu umwambie kuwa "nilishapata mtu" kuliko unasoma sms then unapotezea,ama unablock mtu. Unakuwa humsaidii kusema ukweli.Tangazo la muda hilo, pengine keshapata mtu tayari. Lakin pia kasema mwanamke ndo atapewa kipaumbele[emoji1787]
Anatafuta wanawake wa kuwamega huyo. Hapo akiona namba ya dume ni block tu.Bro what went wrong... Naona una block namba kila inayochat na wewe kwa njia ya WhatsApp bila hata salamu. Tulipeana namba,ghafla nikaona nikucheki Whatsapp...kitendo cha salaamu tu,nikala block. Nikabadili namba,nikakutext tena,uliposoma tu nikala block. Nikajiuliza nini shida? Mbona una block tu!
YatajeTangazo la ajira
Anahitajika msimamizi wa bar
Vigezo
- Awe mkazi wa Dar
- Elimu form four n above
- Jinsia wanawake watapewa kipaumbele
- Awe na background ya sales
- Mkweli na mwaminifu
Majukumu
Mshahara na marupurupu ni maelewano
- Kusimamia bar
- Manunuzi
- Mauzo
- Mahesabu
- Ajira nk
Kwa mawasiliano PM
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] jamaa anapigwa block tuuUna nuksi kali sana.
Njoo uoshwe mkuu[emoji28][emoji28][emoji1787]