Anahitajika kijana wa kuuza chipsi

ssy

Member
Joined
May 24, 2015
Posts
13
Reaction score
1
Anahitajika kijana wa kuuza chipsi, mwminifu, mzoefu na anayejua kuwakarimu wateja, napatikana kwa 0652651853
 
 
Mkuu ungeweka na malipo ni kiasi gani kwa siku au mwezi
 
Mkuu ungeweka na malipo ni kiasi gani kwa siku au mwezi

Ndo maana nikaweka namba yasimu atakayekuwa tayari anipigie kwa namba hiyo tuongee!!
 
vp akakupigia halaf akakwambia yupo ruvuma halaf wew upo kagera! utatuma naul aje?"kama hapana huon kama ukimwambia ajitegemee naul hapo ni sawa na kuwa na mtaji then akafungua kibanda chake?
kama ndiyo huon kama ni wastege of resources?
kama yote hakna huon kama utasababisha kjana anunue vocha akupigie wakat haitawezekana kufanya kaz yako?
 
Wapi?? Matangazo mengine muwe mnatumiana FB huko tangazo gani sasa hili lisilo na kichwa wala miguu?? Mtu aweke credit yake akupigie mtu mwenyewe uko Shinyanga yeye Iringa inasaidia nini kama si kupotezeana muda na pesa bure??
 

Nipo dar, kazi ni maeneo ya banana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…