Tangazo la kazi ni vizuri likawa wazi siyo inakuwa kama mtu anatafuta namna ya kuandika CV anajifanya an kazi tuwe waungwana na contact zetu ziwe na viwango na kumtambulisha anayetangaza nafasi pia tunaotafuta kazi ni vizuri kufanya utafiti siyo kutuma CV tu tumia elimu uliyoipata