Anahisi anaibiwa

MAUBIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,040
Reaction score
859
Habari wanabodi,

Natumai mpo wazima, niende moja kwa moja kwenye Mada, kuna ushauri nimeulizwa na best yangu ambaye tupo single kwamba ana binti wanamahusiano na yupo chuoni kimasomo lkn yeye ni mtumishi. Hivi karibuni tangu mwaka umeanza hajawahi pokea simu wala SMS kutoka Kwa huyo mrembo.

Kikawa kinamuuma sana lkn Leo akijitoa mhanga kumuuliza vipi mbona kimyaaa, binti akajitetea alivyoweza. Baada kama ya masaa mawili hivi akamtumia ujumbe kwa whatapp ukisomeka "Hi, nimekumis sana" binti hakujibu mpaka kama 20 minutes kupita na alichojibu ni hiki hapa
"Ndy my dear nmeambiwa kabla hajafka cku 30 nkichelewa italeta shida"

Sasa jamaa yangu kachanganyikiwa akihisi kwamba dem wake ni mjamzito Kwa uelewa wake wa maudhui ya Ujumbe ule na Ana mpango wa kuitoa.

Sasa wataalamu wa mahusiano na saikolojia Kwa maudhui ya huo ujumbe huyu best Angu haibiwi kweli hapo inaonesha hiyo SMS haikuwa yake.

Karibuni kwa maoni na uchambuzi yakinifu
 
Delusion of persecution....kama haupo huru hapo wewe sepa tu
 
Unadate na mwanachuo? na wewe sio mwanachuo? unajipa matumaini? ni sawa na kuwa mshabiki wa Arsenal halafu ukasema sifungwi
 
Wasiwasi wa mapenzi unaua, mwambie jamaa yako aache wasiwasi
 
Usaliti zambi kubwa natamani MTU aliemsalti mwenzie kimapenzi, na kumpotezea mda thamani mfadhaiko, upweke afe hata kwa ajari

Mungu nisamehe kwa maneno haya maana wewe wanijua kuliko binadamu yeyote kwamba nikiwa kwenye mahusiano na MTU siwezi mcheat.
 
Yani uwe na dem mwanachuo afu udhani upo peke yako, upimwe!!!!!!
 
Njoo kwangu dear
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…