A Amney Member Feb 23, 2012 54 4 Feb 23, 2012 #1 Hvi utafanyaje once unapogundua boyfriend wako ana uhusiano nyuma ya pazia na demu aliyezaa nae hapo awali kabla yako
Hvi utafanyaje once unapogundua boyfriend wako ana uhusiano nyuma ya pazia na demu aliyezaa nae hapo awali kabla yako
chriss brown JF-Expert Member Nov 3, 2011 292 63 Feb 23, 2012 #3 Accept the reality and move on.......:A S 465:
A Amney Member Feb 23, 2012 54 4 Feb 23, 2012 Thread starter #4 Jaribu kua serious na matatizo ya watu kua mstaatabu bac
A Amney Member Feb 23, 2012 54 4 Feb 23, 2012 Thread starter #5 Hyo sura ndo inayomfanya mtu awe chizi au nachanganya? ]
Wakuletwa Senior Member Oct 31, 2010 134 9 Feb 23, 2012 #8 Amney said: Hvi utafanyaje once unapogundua boyfriend wako ana uhusiano nyuma ya pazia na demu aliyezaa nae hapo awali kabla yako Click to expand... Kama unampenda kwa dhati mwambie kuwa sio vizuri afanyavyo.. ila kama nawe bado upo njiani kutafuta mwingine ..mpotezee. Ila kama na wewe unafanya nje ya yeye...bac uchune
Amney said: Hvi utafanyaje once unapogundua boyfriend wako ana uhusiano nyuma ya pazia na demu aliyezaa nae hapo awali kabla yako Click to expand... Kama unampenda kwa dhati mwambie kuwa sio vizuri afanyavyo.. ila kama nawe bado upo njiani kutafuta mwingine ..mpotezee. Ila kama na wewe unafanya nje ya yeye...bac uchune