Upo vizuri!!..saluteMbona kama unaizungumzia movie ya Jason Bourne?
Borne jason... Ina IDENTITY, SUPREMACY N LEGACYIko hivi kuna jamaa alikua mjanja mjanja sanaaa alikua anafanya mtukii na anajificha aliwahi kufanya tukio na mtaa mzima kuna kamera akawa ana zikwepa. Kuna kipande kingine alipigwa risasi akatupwa baharini wavuvi wakamuokota wakawa wanamtibu ad akapona . In short jamaa alikua mjanja mjanjaaa. Kama skosei ilikua na vipande kama vitatu ivii
Nikivyotizama hii Jason Bourne kuna kitu kilinifikirisha.Upo vizuri!!..salute
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Yule jamaa ni shoga. Usipende kuangalia movie za hao jamaa
I hope ushawahi soma research A.Hitler alizokuwa anafanya kutengeneza Supersoldiers!. Imagine hiyo ni 1945s je leo 2019 black projects kama zile zitakuwa stage ipi!?.Nikivyotizama hii Jason Bourne kuna kitu kilinifikirisha.
Hivi ni kweli US wameshafikia kutengeneza watu kama Jason Bourne?
kwa maana ya kuwa na watu waliowpotezea historia za maisha yao ili wawe gvt properties ?
Cause hii concept nilishawai isikia hapa Bongo pia kuwa huwa wanachukua watoto yatima na kuwakuzakuwa maaskari baadaye ukubwan?