::
Anataka kivuli cha kujikinga jua..ili gari likija apande aondoke.
=
daah! Bado umejakuelewa
Huyo atakuwa sio mzima wa akili, kunya anye mwenyewe kutawaza wamtawaze wengine.
Hebu mripoti kituo chochote cha Polisi ikiwezekana mtengenezee zengwe.
Nawe usijifanye nyolonyolo, wewe ni mtoto wa kiume utapigwaje mikwara kirahisi hivyo.
Achana na huyo malaya, hakufai kabisa hayo mengine ni vitisho tu ili ulegee.
daah! Bado umejakuelewa
Mbona unaelekea Kama bado moyo unakudunda kwa yy ? Inaonyesha kua anakuelewa sana ulivyokua umajii juu yake, jikaze kiume mueleze kua umeshasonga mbele,na yy ajipange..
grow up!!!!!
Kwanza kamripóti polisi kwa kuwatishia maisha.....
Pili mwambie akae mbali na wewe...
Tatu acha kumsikiliza songa mbele na maisha yako.......
Achana nae hana maana kwako huyo ni muuaji