Anaaameeereeemetaaaa... !

Teh teh teh, asante kwa picha ya kumbukumbu, namuona shemeji Ntuzu yuko vizuri

Unageuza kibao tena??? Sisi ndo tulikuwa wasimamizi bwana huoni hapo nimempakia shem wako kwenye baiskeli
 
Last edited by a moderator:
Unageuza kibao tena??? Sisi ndo tulikuwa wasimamizi bwana huoni hapo nimempakia shem wako kwenye baiskeli

Huoni icho kimwili cha mume wako? Na mlikua mnaenda wapi eti???
 
Sasa ningempata mdogo wake bila yeye? Usitoke kwenye mada, tuambie matukio siku ya harusi yenu (pichani hapo)

Picha ya harusi yetu hiyo avatar yangu...hizo zingine wazijua wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…