Yerewiiiiii dada white taratibu tafadhali, mwenzio moyo wangu umezama kwenye tope lake la mapenzi ujue. Mambo ya kunirusha roho mapema mapema ntakufa kwa presha mwenzio ujue
kweli kabisa maisha ni haya haya..kwanini upate laana na mamikosi kwa ajili ya mwanaume? kuishi na mastress na bmaugomvi kila siku wengine hatujazoea ...maisha ni amani kama huna amani na watu wa nyumbani kwao ua finished!
Eti nina mchummba wangu, ila
wazazi wangu wanasema
hawamtaki kabisa, mchumba
wangu anasema niwasikilize wazazi
kwani ananipenda sana
kulikonikubali kuishi naye ili hali
wazazi wangu hawamtaki, je huyu
mchumba ananipenda ama
amenichoka?