Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,082
amekuchoka nukta.
Yerewiiiiii dada white taratibu tafadhali, mwenzio moyo wangu umezama kwenye tope lake la mapenzi ujue. Mambo ya kunirusha roho mapema mapema ntakufa kwa presha mwenzio ujue
Eti nina mchummba wangu, ila
wazazi wangu wanasema
hawamtaki kabisa, mchumba
wangu anasema niwasikilize wazazi
kwani ananipenda sana
kulikonikubali kuishi naye ili hali
wazazi wangu hawamtaki, je huyu
mchumba ananipenda ama
amenichoka?
kweli kabisa maisha ni haya haya..kwanini upate laana na mamikosi kwa ajili ya mwanaume? kuishi na mastress na bmaugomvi kila siku wengine hatujazoea ...maisha ni amani kama huna amani na watu wa nyumbani kwao ua finished!Anakupenda sana ila kwa mwanamke akishakataliwa na wazazi kwakweli anakuwa hana ujasiri tena ni mabindudi tu ndo wanaweza hiyo ya kupambana na wakwe na kwa kweli inahitaj ujasiri sana.
Sasa kwa nini hakai upande wako ili alinde penzi lenu.Kwa maana haiwezekani kila mtu akichukizwa na penzi lenu basi suruhisho ni kuachana.Hiyo changamoto ndo ilikuwa kipimo kikubwa cha kuonesha anakupenda na sio vinginevyo.Yerewiiiiii dada white taratibu tafadhali, mwenzio moyo wangu umezama kwenye tope lake la mapenzi ujue. Mambo ya kunirusha roho mapema mapema ntakufa kwa presha mwenzio ujue
Sasa kwa nini hakai upande wako ili alinde penzi lenu.Kwa maana haiwezekani kila mtu akichukizwa na penzi lenu basi suruhisho ni kuachana.Hiyo changamoto ndo ilikuwa kipimo kikubwa cha kuonesha anakupenda na sio vinginevyo.