Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,286
ushairi waweza kuungazia jambo lolote,,hata kama la siasa.... na kwakuwa madhui yake ni ya siasa,,, nikaona aula likawapo hapa kwa wanasiasa..... ili wapate chochote kitu.Hongera kwa ku-maintain vina vya shairi. Inaonesha u mahiri. Japo sina uhakika kama hii nayo ni habari ya kiasa au niya lugha!
Watu wa pwani tumeelewa mkuu Dotto C. Rangimoto haya mambo walau tuletee kila siku mkuu unanikumbasha akina mzee Andanenga na kipindi cha mashairi wakati ule Redio Tanzania Dar es Salaamushairi waweza kuungazia jambo lolote,,hata kama la siasa.... na kwakuwa madhui yake ni ya siasa,,, nikaona aula likawapo hapa kwa wanasiasa..... ili wapate chochote kitu.
Watu wa pwani tumeelewa mkuu Dotto C. Rangimoto haya mambo walau tuletee kila siku mkuu unanikumbasha akina mzee Andanenga na kipindi cha mashairi wakati ule Redio Tanzania Dar es Salaam
Mezipokea pongezi, kwa jinale Azizi.dotto we ndukuzi, wala si mchochezi,
umetoa yako ya wazi, ya kuondoa kibanzi,
Umeleta mapinduzi, ukuendekeza udwanzi.
rekebisha kilichopinda, kwa ushauri makini.
Japo tunakupongeza, nawe pia tahadhariMezipokea pongezi, kwa jinale Azizi.
Kusema lenye tatizi, ishakuwa yangu kazi,
Nitapinga upuuzi, hata wake kiongozi,
Tena bila kigegezi, tashiriki mapinduzi,
Nimeona iwe wazi, nipunguze viulizi.
kwa kuwa mshairi anamdadavua mfalme na yake enzi basi inatosha tu kuelewa kuwa mfalme ni mtawala na sehemu kubwa ya maamuzi ya watawala ni ya kisiasa ama kiimla . Hongera Mshairi wetuHongera kwa ku-maintain vina vya shairi. Inaonesha u mahiri. Japo sina uhakika kama hii nayo ni habari ya kiasa au niya lugha!
Sina budi kusikiza, na kupokea hadhari,Japo tunakupongeza, nawe pia tahadhari
Tusije kukupoteza, huku tukitakabari
Unavyouma puliza, chombeza na kachumbari
Mfalme anaburuza, kwa majeshi na askari
Hiyo finishing duuuuuSina budi kusikiza, na kupokea hadhari,
Jua nitajiongeza, kwa kuchelea hatari,
Hiyo ng'ata na puliza, ni ushauri mzuri,
Asije nihangamiza, huyu falme guberi.