kikelelwa, nimekumbuka nyumbani kwetu mbomai chini,karibu na stoo ya mnyuko. Btw kwa nini usiendelee na hyo ngo wakati unatafuta cpa, ukishapata cpa ujiajiri mwenyewe kwa kuanzisha business consultation a/c and auditing firm?