D doppla2 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 1,393 Reaction score 1,462 Dec 28, 2016 #1 " Nilisia hapo kale ilinenwa usizini lakini mimi nawaambieni yeyote atakaye mtazama mwanamke kwa kumtamani amekwisha zini naye rohoni." Upo kitaa mtoto mkali akikatiza huku nyuma ataacha majanga. Ukiwa una drive ukipishana na watoto wazuri almanusra usababishe ajali mbaya zaidi awe na mbunye ya maana. Siku hizi hata church wanakuja na min skirt wakianza kuimbisha pambio hapo utaanza kuona vijana wanatazama hapo kati...... Scenario ziko nyingi unaweza tupia hapa. Hoja: Ebu wakuu tuwage wakweli tu hivi kwa siku unazini mara ngapi?
" Nilisia hapo kale ilinenwa usizini lakini mimi nawaambieni yeyote atakaye mtazama mwanamke kwa kumtamani amekwisha zini naye rohoni." Upo kitaa mtoto mkali akikatiza huku nyuma ataacha majanga. Ukiwa una drive ukipishana na watoto wazuri almanusra usababishe ajali mbaya zaidi awe na mbunye ya maana. Siku hizi hata church wanakuja na min skirt wakianza kuimbisha pambio hapo utaanza kuona vijana wanatazama hapo kati...... Scenario ziko nyingi unaweza tupia hapa. Hoja: Ebu wakuu tuwage wakweli tu hivi kwa siku unazini mara ngapi?
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 21,160 Reaction score 48,367 Dec 28, 2016 #2 Wengine wanazini Kwa kuona avatar....! Imeandikwa, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, hata yatakapoona yenyewe.... Jicho likikushawishi vibaya, litoe...heri kuwa chongo....
Wengine wanazini Kwa kuona avatar....! Imeandikwa, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, hata yatakapoona yenyewe.... Jicho likikushawishi vibaya, litoe...heri kuwa chongo....