Amkata mumewe uume kudai unyumba

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
Beatrice Acen kutoka wilayani Apac nchini Uganda, Moses Okot (46) anauguza jeraha baada ya mkewe kumkata uume kwa madai ya kukosa unyumba.

Ingekuwa ndio mimi nimekatwa 'uume', lazima ningekata kiungo chake kilichotokeza kama 'uume' kwa muda ambao nitachagua mwenyewe.

Sasa unakata uume kwa kudai unyumba, sasa utapataje huo unyumba wakati umeondoa kifaa cha unyumba?

source: https://www.mwananchi.co.tz/habari/...ai-unyumba/1597284-5183436-ejx98iz/index.html
 
natumaini hakuhathilika sana
MWENYEZI MUNGU amsaidie apone haraka
 
Kwa vyakula vya chips kuku tena kuka wa kisasa,chips soseji,piza ehh urojo jamani hizo nguvu wanazipata wapi vijana hawa wa kileo acha mkatwe makende tu
Wewe ni me au ke?
 
Aiseee
Halafu kuna tetesi za viagra kwa wanawake!
 
Kwa vyakula vya chips kuku tena kuku wa kisasa,chips soseji,piza ehh urojo jamani hizo nguvu wanazipata wapi vijana hawa wa kileo acha mkatwe makende tu
Huyo jamaaa aliyekatwa ana umri wa miaka 46, una muita kijana wa kileo ,wew una umri gani??

Kasumba za kukalili, kila kitu mnakimbilia kijana wa kileo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…