Mkazi wa kiseke jijini Mwanza Amemkata Mke wake ------ usiku akiwa amelala kwa sababu ya wivu wa mapenzi, Mume wa Mwanamke huyo aligundua kuwa mke wake ana mahusiano na mwanaume mmoja hapa kiseke, usiku wakiwa wamelala mwanaume aliamka na kuchukua panga na kumkata ------ ambapo damu nyingi zilimtoka mwanaume huyo,
katika kuonyesha jinsi wanawake walivyo na huruma, mara baada ya polisi kufika na kumkamata mwanaume huyo, mama huyo aliwasihi polisi wamwache mme wake akisema kuwa mambo hayo yatamalizwa na wazazi wa pande zote mbili, polisi waliafiki suala hilo na kumwachia mwanamume huyo.