eti ni mbunge wa viti maalumu anayewakilisha walemavu?
Tupo serious kweli?
Huyu ni mlemavu wa nn mbona kuna walemavu wa aina nyingi hatuoni wakiteuliwa mnateua mtu mzima na viungo vyake eti anawakilisha walemavu, Mungu awalaani!!!!
Ni mlemavu fulani ila anaficha kwa kuvaa magauni marefu.
Tafuta picha zake profile fb. Picha zote kafunika miguu na anasimama vizuri hapo unaweza kuona chembe za ulemavu kwa mbali sana, na usipokuwa makini huwezi kujua.

ndugu kuna walemavu wapo serious ukimwangalia tu inagundua kwa nn wananyimwa hizi nafasi?
Hii yote no kumuweka mtu kutokana na rushwa fulanifulani au mambo mengine!!!!
MUNGU awalaani wanaopata nafasi ya ku select walemavu kisha wanachukua watu wazima na kuacha watu wenye ilemavu wa serious