Tanzania Shamba la bibi.By the way,I hate Chines.Hawana Nia njema na Sisi.Fanya kazi na Kampuni ya Kichina ,Alafu fanya kazi na Kampuni ya wamarekani.Utapata jibu.Wachina sio watu.Wanafund Miradi ambayyo inderectly inawafaidisha wao.Barabara,Madaraja,Viwanja vya Mipira,Majengo n.k. ambazo utakuta wenyewe ndo wanaokuja kujenga.Ni mara chache utawakuta wamefund project kama za Elimu,kilimo,maji,Afya mf.HIV/AIDS,Malaria,TB,Chanjo nk.Ukiangalia wamarekani wao wako kwenye kila aspect ya development.Elimu,Afya ndo usiseme,Maji,Barabara,Nishati,viwanda,Ujasiriamali,Haki za binadamu nk.Watanzania tunapaswa kumuogopa Mchina.Hana nia Njema na sisi.Yeye anaangalia sehemu tu yenye maslahi kwake mojakwamoja ndo anakofund.This is my Opinion.