Wana jf naombeni ushaur wenu nipo ktk kipnd kigumu sana,nina mpenz wangu wote tunapendana ila kati 2lisalitiana bt tukaahd kufungua ukurasa upya wote 2we wa kweli na 2kapenda kutokana na kutafuta maisha 2ko mbali kimkoa ila 2nawasiliana kila cku cha kushangaza na mpigia cmu jion hii anapokea mwanaume then anajitambulisha yy ni mpenz wake,naombeni ushaur wenu na wote 2najua kama mapenz yanatesa na kuumiza,its beter kutocoment kuliko kucoment ma2si au vbaya
umeongea nae kakuambia nini? ndio maisha hayo lazima weye anakuchuma kitu/vitu.
usipofungua macho shauri yako.
usilipize kisasi,you just walk away na kuendelea na mipango yako.Thanx brother 4 ur gr8 advice nitafanya bt nayeye lazima aumie kama mimi
cjaongea nae hata nikipga anapokea mwanaume
mndengereko unataka tukushauri nini? Jibu liko wazi kuwa mwenza wako si mkweli kwako, bado anacheat, unaweza mpigia ukapozwa kwa maneno matamu na kuamua kuendelea nae au ukaamua kumwaga, maumivu yapo ila in time yataisha
Thanx guys nishafanya maamuz inabd niachane nae 2 ila she has 2 pay 4 it inabd nayeye nimuumize 2 no way out
usilipize kisasi, muache tu.Thanx guys nishafanya maamuz inabd niachane nae 2 ila she has 2 pay 4 it inabd nayeye nimuumize 2 no way out