Sure, you were younger some years and certainly you will get olderYou won't stay fresh forever..View attachment 3510477
Asalaaale yani ndivyo shemeji alipofikia huko ila sishangai wakishapigwa kitu kizito ndo hujitia huruma mpe muda tu. NA HONGERA KWAKUSIMAMIA MISIMAYAKO πBaada ya kumuona tabia zake hatuendani nikaamua kumpiga stop asifike kwangu tena.. Na waraka rasmi nikamuandikia usomwe na watu wake kwamba hana kibali tena ya kutia matendegu yakwe kwangu
Kumbe bwana alikuwa na kinyongo kikali na hasira za mkizi
Sasa kaniandalia kigoma na tarumbeta juu.. Kaalika marafiki wa rika lake na wa kaliba yake.. Kaweka kikoa cha vichambo na michambo
Who are me?
Lakini nabaki najiuliza..!
Me ya nini?
Why me?
Yaani who are me!
Mimi kwa nini?
Mimi toka lini?
Mimi kwa sababu ipi?
Mimi kwa sababu gani?
Nikidhani atakuwa mnyenyekevu mwenye tafakuri na majuto.. Lakini wapi bwana! Kilichoonekana na kiburi majivuno na kazalika nyingi sana
Nikangundua kumbe sikukosea asilani kumpiga kibutiView attachment 3510458
Baada ya kumuona tabia zake hatuendani nikaamua kumpiga stop asifike kwangu tena.. Na waraka rasmi nikamuandikia usomwe na watu wake kwamba hana kibali tena ya kutia matendegu yakwe kwangu
Kumbe bwana alikuwa na kinyongo kikali na hasira za mkizi
Sasa kaniandalia kigoma na tarumbeta juu.. Kaalika marafiki wa rika lake na wa kaliba yake.. Kaweka kikoa cha vichambo na michambo
Who are me?
Lakini nabaki najiuliza..!
Me ya nini?
Why me?
Yaani who are me!
Mimi kwa nini?
Mimi toka lini?
Mimi kwa sababu ipi?
Mimi kwa sababu gani?
Nikidhani atakuwa mnyenyekevu mwenye tafakuri na majuto.. Lakini wapi bwana! Kilichoonekana na kiburi majivuno na kazalika nyingi sana
Nikangundua kumbe sikukosea asilani kumpiga kibutiView attachment 3510458
Sasa anachamba mbele ya wazee hawana ata meno kama anajiamini awaite Gen Z awachambe kama atatenguliwa hicho kiunoBaada ya kumuona tabia zake hatuendani nikaamua kumpiga stop asifike kwangu tena.. Na waraka rasmi nikamuandikia usomwe na watu wake kwamba hana kibali tena ya kutia matendegu yakwe kwangu