Mkuu si useme ni wewe tu
Halafu 2021 ni mapema sana kulilia ajira kama umemaliza mwaka huo utakuta kuna wenzako hata academic transcript hawajachukua si umemaliza juzi tu ume graduate November
Pambana kwanza mambo yatajipa yaani unataka umalize hapohapo upewe ajira wakati wenzako wana miaka karibu kumi kitaa