okay, asante kwa kukiri kuwa jamaa alituingiza mkenge wa bil 220.
haya sasa hebu niambie mimi na wengine wasiojua kama mimi sababu ya liyumba kufungwa.
kwa kuiingiza hasara serikalina watanzania tsh. bil 220. you are not serious.
mkuu tunajua nguvu ya wenye pesa lakini ni vizuri tukapata hata pa kuanzia. huenda watakaokuja wakawa more serious kwa hili jambo.ukiiba pesa nyingi haufungwi na ukifungwa haizidi miaka 7, nayo utatumikia miaka 3.5 unatoka. unamkumbuka yule mama wa NBC miaka ya 92- 94
pole mkuu kwa kunidhihirishia kuwa huna jibu. kwa kifupi hujui kitu acha kuzuga. unanikumbusha ishu ya mabilion ya uswisi ya zitto, kumbe hana jina/account hata moja. pole.do ur research.....mimi nimekusaidia, kosa la matumizi mabaya ya ofisi 'sio kosa lililomfanya afungwe'.....mengine tuwaachie baba na mama.
okay, asante kwa kukiri kuwa jamaa alituingiza mkenge wa bil 220.
haya sasa hebu niambie mimi na wengine wasiojua kama mimi sababu ya liyumba kufungwa. tafadhali hebu nitajie hao wengine. maana ninachojua ni kuwa kweka alionekana hahusiki.
ukiiba pesa nyingi haufungwi na ukifungwa haizidi miaka 7, nayo utatumikia miaka 3.5 unatoka. Unamkumbuka yule mama wa nbc miaka ya 92- 94
pole mkuu kwa kunidhihirishia kuwa huna jibu. kwa kifupi hujui kitu acha kuzuga. unanikumbusha ishu ya mabilion ya uswisi ya zitto, kumbe hana jina/account hata moja. pole.
unachekesha mkuu. umchore nani?sawa kaka sijui kitu....ila pigeni tu kelele humu sie tunawachora tu.