bali kulikuwa na nini ndugu?hapakua na kesi hapo ndugu
kwa kuiingiza hasara serikalina watanzania tsh. bil 220. you are not serious.huyu jamaa kinachomsumbua ni fitina za watu.....ila huwa nina amini kwamba adui yako ndie anayetengeneza future yako.....
kwa kuiingiza hasara serikalina watanzania tsh. Bil 220. You are not serious.
kwa kuiingiza hasara serikalina watanzania tsh. bil 220. you are not serious.
okay, asante kwa kukiri kuwa jamaa alituingiza mkenge wa bil 220.hii sio sababu ya huyu mtu kufungwa.
okay, asante kwa kukiri kuwa jamaa alituingiza mkenge wa bil 220.tatizo mbona wengine wamepona? Au yeye ni mbuzi wa shughuli? Au alikuwa mnoko? Au alidhulumu mgao?....ndo maana narudia kusema kinachomsumbua ni fitina za WATU........ungejua watu hupiga bao kiasi gani hiyo BIL 220 isingekushangaza....hii ndo TZ......
Clarification required...
Kesi ya kukutwa na simu gerezani sio kesi iliyomtia hatiani hata awe gerezani. Kwa hiyo sidhani kwa kushinda kwake kesi ya kutuhumiwa kuwa na simu gerezani kumemfanya kuwa huru?? Wataalamu wa maswala ya kimahakama tujuzeni...
PP
si alishamaliza kifungo?yuko huruClarification required...