Kila kitu kwa kiasi!Habarini za jumapili,
hii miziki naisikiaga tu kwenye maklabu nikapendezewa na midundo yake.
sasa jana usiku nikaingia yutyub na kuandika amapiano nikakonnect blue tuth na hii home theater yangu.
nikaanza kujiachia ile midundo ikanifanya nipate mzuka na kujikuta naongeza sauti zaidi na kutetemesha bati la nyumba. nikiamini baba mwenye nyumba hayupo coz ni mzee wa ruti kumbe alikua asharudi safari usiku ule na yupo dani.
sasa hivi karudi kutoka chachi kasema baadae ana kikao na mimi pamoja na wapangaji wenzangu.
nivyomuuliza mpangaji mwenzangu akanambia nijiandae tu mana notisi inanihusu.
Mi kamoja tu nimejibana sana make hata kakiwanja ni kadogo 30*45 padogo mno yani πtena mimi ninazo tatu π
notes siku hizi inalipiwa usimtie ujinga mwenzioIla kumbuka ulipopanga ndio kwako akikupa nots na pesa akurudishie
Au zile Spika Za misikitini zinatunyima usingizi Kila siku saa11Lingekuwa kosa sana makanisa ya Walokole yote karibia yangefungwa
Maana sio midundo kwa kukesha hukoo
Nitakupa hekari 1 na tofari na mbao za lenta uanzie π€£π€£πMi kamoja tu nimejibana sana make hata kakiwanja ni kadogo 30*45 padogo mno yani π
Dah....angalau sasa tupo wapangaji wawili JF.....Mimi na wewe tu...wanaJF wengine wote hawatakuelewa....siyo wapangaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Habarini za jumapili,
hii miziki naisikiaga tu kwenye maklabu nikapendezewa na midundo yake. sasa jana usiku nikaingia yutyub na kuandika amapiano nikakonnect blue tuth na hii home theater yangu.
nikaanza kujiachia ile midundo ikanifanya nipate mzuka na kujikuta naongeza sauti zaidi na kutetemesha bati la nyumba. nikiamini baba mwenye nyumba hayupo coz ni mzee wa ruti kumbe alikua asharudi safari usiku ule na yupo dani.
sasa hivi karudi kutoka chachi kasema baadae ana kikao na mimi pamoja na wapangaji wenzangu.
nivyomuuliza mpangaji mwenzangu akanambia nijiandae tu mana notisi inanihusu.
Shai mbembe π π π fwi fwi fwi fwi fwi fwi hahahahahVipi huwa na firimbi make ile sijuwi inaitwa Shembembe bila firimbi hainogi
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Ankol inabidi tufanye namna tukuwezeshe ujenge, humu wote tuna nyumba we peke ako ndio haujajenga.
Shai mbembe [emoji28][emoji28][emoji28] fwi fwi fwi fwi fwi fwi hahahahah
Sana asee, unakuaje jf halafu hauna nyumba na gari πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anatuaibisha wanajf
Kabisa wakati wote tuna magari na nyumbaSana asee, unakuaje jf halafu hauna nyumba na gari πππ
Hatuna Gari tu, tuna Mercedes, BMW, Volkswagen, Ford etc hatuendeshi vibaby walker Wala hatutumii Toyota hahahaKabisa wakati wote tuna magari na nyumba
Nakuambia πππππHatuna Gari tu, tuna Mercedes, BMW, Volkswagen, Ford etc hatuendeshi vibaby walker Wala hatutumii Toyota hahaha