Wadau wa jukwaa tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami nimpende,aniambie i miss u,i love u,nakuhitaji,anipe maneno matamu ya mahaba,sijawahi kupata,niliyewahi kuwa nae ilikuwa sawa na sina mpenzi!simu mpaka nipige mimi,msg niandike mimi vinginevyo atanyamaza hata wiki!am so desparate nahitaji counselling au msaada niondokane na hii hali tafadhali.
najijua Boss,pia huambiwa sana
asante sana lkn mbona ni muda sifuatwi?
Pole sana kwa upweke ila nikiangalia ulivo andika naona huta chelewa kupata mtu.Wadau wa jukwaa tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami nimpende,aniambie i miss u,i love u,nakuhitaji,anipe maneno matamu ya mahaba,sijawahi kupata,niliyewahi kuwa nae ilikuwa sawa na sina mpenzi!simu mpaka nipige mimi,msg niandike mimi vinginevyo atanyamaza hata wiki!am so desparate nahitaji counselling au msaada niondokane na hii hali tafadhali.
wanaokuambia kama wengi ni wanaume wanakudanganya.lengo wakuvue nguo
hebu jieleze hapa ulivyo halafu nikwambie ukweli viwango vyako...
Boss mbona umekamia sana kwenye uzuri,kiukweli niko kiwango huwa naambiwa na me/ke,sasa unanishaurije Boss wangu?
mchoyo kivipi Tuko?
Pole sana kwa upweke ila nikiangalia ulivo andika naona huta chelewa kupata mtu.Ushauri wangu ni huu: jaribu kusahau mambo ya mapenzi kwa muda wa siku kadhaa, focus on yourself. Kumbuka ni vitu gani unapenda kwako (na shukuru mungu kwa kua na hivyo vitu/tabia), vitu gani unapenda kufanya ukiwa peke yako au na rafiki zako (na kama unaweza vifanye), na soma sana kuhusu relationship na namna ya kuboresha mahusiano katika mapenzi ili wakati mpenzi wako atajitokeza akukute uko ready kumpokea. Usi fikirie kabisa kama huna mpenzi, unae, it is just a matter of time before love shows up!
- unajijua wewe ni mzuri (wa mwili au wa roho, it doesnt matter, what matter ni kujiamini)
- Una standards. Kama mtu hafikii hiyo standard hakustahili (kama huyo ambae hatoi ushirikiano katika communication)
- You have so much love to give. Yaani nikisoma message yako naona uko tayari kwa kupokea ila pia kwa kutoa penzi.
Unajua kuna hata mauwa yanachanua vizuri sna na yanatamanisha kwa mbali, lakini ukiyasogelea unakuta yana miiba? Toa miiba hiyo...
Najua sio rahisi ila ukianza kufikiria jaribu basi kufikiria furaha utakayo kua nayo wakati utakua na mwenzio, usifikirii kwa upande wa negative zaidi (mbona mi sina, leo tena nitakua peke yangu) ila fikiria positive (maybe siku ya kukutana itakua ni hapa, sijui atakua anapenda movies kama mimi? etc) yaani kila feeling ya upweke ikija fikiria ni namna gani itakua mtakapo kua wote na utajiskia unakua na furaha kila wakati. sio rahisi mwanzo ila with time utaona unakua mwepesi tu na mtu anajitokeza kwa njia hukutegemea kabisa.asante sana RR nitazingatia sana hasa hapo kny kujua zaidi khs mahusiano,kiuhalisia kutokufikiri ni ngumu wakati mwingine maana kuna muda unaona kuwa unahitaji mwenzio,asante kwa ushauri mzuri