What if i tell you,there's no such thing as true love...ina depend na maamuzi pamoja nakujitolea.
Ngoja nijaribu kukusaidia
Sasa kuna vitu tumezaliwa navyo na kuna vitu twaweza jifunza au kujiboresha. Unaweza usiwe say 'mtamu' lkn ukawa mbunifu na mshauri ktk biashara/maendeleo na say una heshima. Kwa maneno mengine unatakiwa uoneshe kwa matendo na tabia jinsi gani atapoteza kama atakupoteza wewe. I mean aone gap lako. Sasa it is okay kusema you are fine the way you are and let no one change you; but again ni wewe ambaye unapata shida ya kushindwa kumkeep mpenzi so take a very good look of yourself halafu ona wapi unaweza kubadilika. Kuwa mnyenyekevu kidogo haimaanishi wewe ni weak. Kwa sisi wakristu Bwana wetu alishuka kutoka kwenye utukufu hadi kifo cha msalaba. So sio siku zote kushuka ni kupoteza elimu yako.
I believe when the right time comes you won't push her,they simply were not for you. You had your valid reasons while pushing them away
Don't let your worries make decisions for you
kyekuu hiki kigezo cha umri kilishaeksipaya. kuna vijana sijui niseme watoto wako early ana mid 20's lakini wanajua wanataka nini na hata ndoa wanafunga na 20's wenzao. halafu kuna vijeba vya kiume viko 40's na wengine 50's huko bado vinaruka ruka havitaki kutulia chini. viko vya kike pia mid 30's na kuendelea ukimuuliza habari ya ndoa anatoa macho tu hajui kama anaitka au haitaki. Haya mambo yanategemea mazingira na mapito ya mtu binafsi, ila siwashauri vijana kuingia kwenye mahusiano ya "enter at your own risk". yaani mnaanza tu safari halafu mnaambiana wee twende tukifika huko mbele tutajua tunaenda wapi! mkikutana na misukosuko mnaanza kutoleana mapovu...mbele hakuendeki, nyuma mbali.kuuliza ni kutokana na mwanaume uliye naye yukoje kwa mfano wewe una 28 ukiwa na mwanaume mwenye 30 ningumu kuwa na future na ndoa lakini ukiwa na mwanaume anaye elekea 35 unweza uliza na hata yeye utakuta nazungumzia hilo... age matter na pia kuna wanaume ukiongelea swala la ndoa anahisi upo desperate na unataka kuingia kwenye ndoa kwa nguvu watakusumbua....
hicho kitabu ni mawazo ya harvey tu, yana mchango lakini si universal law. nimetoka kusoma thread ya mwanaume analalamika kahamia nyumbani kwa mwanamke, sasa anatakiwa kuchangia kodi ya nyumba analialia. sasa huyu sijui ndo mwanamke, halafu yule mwanamke ndo mwanaume? halafu swala la kupenda uhuru na kuaminiwa ni hitaji la binadamu wote kuanzia mtoto anayeweza kutambaa mpaka kikongwe mwenye akili timamu bila kujali ni wa kike au wa kiume. Hakuna mwanamke anayependa kuulizwaulizwa kila saa uko wapi, unafanya nini na nani...Ukikipata hiki kitabu utafurahia mahusiano yako kila siku.I would reccomend u @ brenda18 to find this book.
Wanawake wengi hawajui saikolojia ya mwanaume ktk mahusiano..mwanaume anapenda ile hali ya kujiona kuwa anahitajika kwa mwenzi wake.Yeye ndo awe juu..yeye ndo atatue matatizo ya kifedha...inshort yy ndo awe anatawala.Dont try to fix kila kitu kwny mahusiano yenu. Mwache yeye afanye.
Sasa wadada wa siku wanataka kujifanya nao wanazo..wanaweza. basi shida ndo inaanza hapo. Km unazo ni vizuri, ila fanya kwa kiac usijeukafanya mpaka mwanaume yeye ndo ajione useless kwenye family.
Another thing wanaume wanapenda sana uhuru na kuaminiwa. Sasa wadada siku hiz kila saa unataka kumuwatch mpenzi wako kujua yuko wap,na nani ,wanafanya nn? It doesnt go like that..give ur man a time n space afanye mambo yake. Haimaanishi kwamba husimtafute siku nzima noo..
Utapata mengi if u read that book
kyekuu hiki kigezo cha umri kilishaeksipaya. kuna vijana sijui niseme watoto wako early ana mid 20's lakini wanajua wanataka nini na hata ndoa wanafunga na 20's wenzao. halafu kuna vijeba vya kiume viko 40's na wengine 50's huko bado vinaruka ruka havitaki kutulia chini. viko vya kike pia mid 30's na kuendelea ukimuuliza habari ya ndoa anatoa macho tu hajui kama anaitka au haitaki. Haya mambo yanategemea mazingira na mapito ya mtu binafsi, ila siwashauri vijana kuingia kwenye mahusiano ya "enter at your own risk". yaani mnaanza tu safari halafu mnaambiana wee twende tukifika huko mbele tutajua tunaenda wapi! mkikutana na misukosuko mnaanza kutoleana mapovu...mbele hakuendeki, nyuma mbali.
Good evening,
Am in my late 20s about completing my MMED. Ever since I got out of my first relationship with my first and d only man I have ever loved I have not been able to keep other men coming my way.
Am not really a bad person, am not even materialistic because even as an undergraduate I was working. No man I have ever dated that doesn t not wish to settle down with me but one thing will lead to another and there will be change in plan.
In fact am losing hope of ever getting married may be I should just get pregnant for my first love and be a single mother. Right now am single and I have been for more than a year. Please do u have any advice for me?
Thanks
QUESTION:What is the difference btn a Tanzanian man's wife and a Tanzanian man's daughter?
ANSWER:The wife sleeps with the man.
EXPLANATION:Kwenda kwa mwanamume wa kiTz ni kwenda kwa baba yako wa pili.
Hayana hata aibu, eti yanajifanananisha na wazazi wangu. EBO..
The hardest people to live with are speculated to be:
Lawyers
Doctors
Phsycologists.
You fall under one category. Please keep your MD to yourself.
Carefully look at these three basic needs of men in a relationship:
Food
Sex
Silence
How good and willing are you at providing your man with each?
What do you mean by silence??I would love to know
The hardest people to live with are speculated to be:
Lawyers
Doctors
Phsycologists.
You fall under one category. Please keep your MD to yourself.
Carefully look at these three basic needs of men in a relationship:
Food
Sex
Silence
How good and willing are you at providing your man with each?
1. Know your position. Be a woman.
2. Treat men as men, jus like how your mother treated your dad.
3. Stop living a dream life. Life's nothing like what you see on Tv series. We are in africa, we need african women, not tv characters!
4. Plus your education is for you and yours only, when u r with a man, he's the Boss!
5. Besides, you aint living in the past, forget about ur ex and live the present! Everyman is unique, live to their strength and accept their imperfections.
6. Learn to love those who love you, atleast dont shun them, get to know them. You never know who will lead u to the altar
7. You seem to fall for those who pay less attention to you ( they dont love you! Woke up!)
Nb
We are colleagues, medicals. Happily married. If u wont mind, i can give u a proper advice chamber. I knw a thing or two about dating
Pole sana Dear.... To me I think may be the right time hasn't reach yet. My dear dont give up , you still young.. I think you need to focus on doing other things to stay busy while you pray unto God to give you the right person.. Do some Fasting and Prayers for sometimes by commit everything unto God. Surely God will send the right person for you.. I think you haven't get a right person and I believe if you will get the right one you will forget all the Past. Take your past relationships as an experience to prepare you for your future husband. Don't put yourself down by going back to your Ex because of having the Baby , no way girl you are too beautiful and precious so I advice you don't do it . You are wonderful and fearful made by God . You are a child of God never underestimate yourself girl , you deserve better . Just wait give some little time . Pray without ceasing and surely God will grant your heart desires Amen. Thanks.
I think labda amemaanisha mkimya asieongea sana or majibu ya dharau or in short Gubu ( hopeful nimepatia hili neno ). Thanks. .
Amen for this,
Thank you dear
Mmh mbona kuna watu ni waongeaji and they still have their marriages, kuna watu are good at cooking and still can't keep their hubbies... Mimi naona when you have the right man atakubaliana na mapungufu yako na kukusaidia uwe mtu mzuri zaidi ya alivyokukuta
Hapo kwenye silence wanaume wengi wanamaanisha mwanamke awe submissive,hakuna kubisha wala kujenga hoja wewe ni kupokea tu amri kutoka kwa mmeo which I find it's unfair
i think there are a lot of things beyond this post that i haven't explained so it's difficult to understand my situation
am open to advice,you're welcome
What do you mean by silence??I would love to know
A modest silence is a woman's crown