Hivyo ni vigezo vyangu mkuu lazima awe employed au aliejiajili kila mtu na preference zake. Mimi huwezi kuniweka kwenye kundi la wafupiEmployed?Kuna houseboy wa Diamond ana kipato kizuri,Alafu eti mrefu,kwani we mrefu,Wasukuma bhana kila pahala mnajitambulisha kisa jamaa yupo magogoni!
ukishindwa kumpata njoo kwangu nipo jijini tanga soko la ngamiani nauza samaki wabichiAsante Ngamiani
Dah hapo kigezo cha age tu ndo kimenitupa aisee.Niko below 32.
Kama unajichubua usini-pm
Born again Christian ndo yukoje huyo? Haya madamu utapata
Acha kiburi m-Pm ndio kasemaNi pm mrembo tuyajenge
Mkuu umepotea sana, long time hope uko salamaWewe huzijuhi mbwembwe za walokole, wanajidai wamezaliwa upya. sasa sijui hajui kama mume bora anatoka kwa bwana na si Facebook Twilla au JF.
Majukumu yameongezeka, muda mdogo.Mkuu umepotea sana, long time hope uko salama
unaonekana kama mji wenye upendo,mrembo, njoo tupange malengo, nikikutazama naona nyufa kwenye mjengo.